Dear friends of busara
TV viewers around Africa have the chance to watch highlights of last Februarys Sauti za Busara [Sounds of Wisdom] music festival on TBC1 (Channel 143 on DSTV) every Tuesday at 7.30pm EAT (East Africa Time). Tonights edition is the second in a five-part series, as sponsored by leading local phone network Zantel.
Thanks to our friends at ScreenStation (UK), there is also a ten-minute promo of the festival that is generating much excitement on You Tube at www.youtube.com/watch?v=pOS3pGZsXZ8
Meanwhile, for the best selection of photos from the festival, see Jeremy Llewellyn-Jones photo gallery atwww.jljphotography.co.uk/gallery_218421.html or more at www.busaramusic.org/festivals/2009/coverage.php
And finally, for African musicians from anywhere in the world interested to participate at the 7th edition of Sauti za Busara, taking place in Zanzibar 11 16 February 2010, you can apply online (English, Kiswahili et Francais) at www.busaramusic.org/callforartists/index.php
Enjoy the vibes more fire as always at the friendliest festival on the planet!
Watazamaji wa luninga kutoka Afrika mnanafasi ya kuangalia toleo lililopita la mwezi wa pili la tamasha la muziki Sauti za Busara kupitia TV ipendwayo na wengi TBC1 ( na wenye DSTV katika chaneli143) kila jumanne kuanzia saa1:30 usiku (kwa saa za Afrika Mashariki) Toleo la leo ni la pili katika matoleo matano, ambayo yamedhaminiwa na mtandao wa Zantel.
Shukrani za dhati kwa marafiki wetu kutoka ScreenStation (UK), kwani pia kuna filamu ya dakika kumi inayopatikana katikawww.youtube.com/watch?v=pOS3pGZsXZ8
Kwa sasa unaweza kuchagua picha nzuri za tamasha, angalia
Jeremy Llewellyn-Jones kupitia www.jljphotography.co.uk/gallery_218421.html au zaidi katikawww.busaramusic.org/festivals/2009/coverage.php
Na mwisho , kwa wasanii wa Afrika na pande zote duniani wanaotaka kushiriki katika toleo la 7 la Sauti za Busara, litakalofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 11 mpaka 16 Februari 2010, unaweza kutuma maombi yako kupitia tovuti yetu katikawww.busaramusic.org/callforartists/index.php
Makamuzi kwenda mbele katika tamasha rafiki duniani!
You can contact us by email at busara@zanlink.com and at our physical address. Find us in Stone Town, between Africa House and Serena Hotel, opposite Amore Mio.
Busara Promotions PO Box 3635, Zanzibar, Tanzania www.busaramusic.org – busara@zanlink.com +255 24 223 2423 or +255 784 925 499 or +255 773 822 294